Haya maelezo yako yanajichanganya sana, kinachozunhumzwa ni kwamba, Kenya huwa inawaogopa sana wazungu, kila wanachosema lazima Kenya iwasikilize na kutekeleza matakwa ya wazungu, hata kama italazimika kusaliti waafrika wengine, mifano ni mingi sana ambapo Kenya ilisaliti waafrika kutokana na kuwaogopa wazungu, kuamua kushirikiana na makaburu kusini mwa Afrika, na kuamua kuisaliti jumuia ya EA., kwa kujitoa katika mkataba wa kupiga marufuku nguo za mitumba ni baadhi tu ya mifano ya Kenya kuwaogopa wazungu na kufuata kila wanachosema, iweje katika hili mnawapinga?, au ni kwasababu wameanza kugusa maslahi ya wakikuyu na Kalenjin ambao ndiyo wenye hati miliki ya Kenya?