EU Yaionya Serikali ya Kenya Kuhusu Wizi wa Kura

Ni sawa na kuniambia hamna mtu ashawahi ongoza Tz outside Chama tukufu cha CCM.
Ni bora uchama kuliko ukabila..... Nachojua CCM hakina kabila uwe umetoka kabila dogo au kubwa sio kigezo cha wao kukupitisha zaidi labda utoe rushwa ila ukabila bado hawajafika huko sasa utalinganishaje hao na kenya ambao it doesn't matter chama gani upo ila ili wakupitishe lazima ufanye mathematics za kabila

Mfano ruto hata aende NASA leo the entire rift valley will follow him same applies to odinga akienda JUBILEE the entire nyanza itaenda jubilee sasa ndio siasa za aina gani hizo??? No wonder kila uchaguzi huwa kuna tension but trust me mngekuwa hamna ukabila na mnapendana chaguzi zisingekuwa tense kiasi hicho
 
"makikuyu yaliiba kura ". Hivi utasema Wewe siyo mkabila baada ya kutumia maneno kama hayo kwa watu ambao hawajakukosea kwa vyovyote vile?
Muache huyo jamaa ukabila unamsumbua si uongo. Anasema wakenya wana ukabila wakati yeye ambaye anajiita mtanzania ndo amegeuza uzi huu wote ukawa wa ukabila. Mi niliachana na ubishi wake tu wakati aliponiambia.....wewe huwajui wakikuyu. Statement kama hiyo huwa inasemwa tu na malofa ambao hawajui kwamba 1 in every 4 Kenyans ni mkikuyu mimi nikiwa mmoja wao. Hapo hujaongeza wakenya wengine ambao wana ukoo wa kikikuyu kama waembu, wameru, wamaasai wengi kutoka mashariki ya Suswa na wale wengine ambao mababu zao walioa au kuolewa ukikuyuni.
 
Acha uongo we mthamaki ina maana kikuyus make up 25% of kenya ni lini mmeongezeka kiasi hiko within 7 years??? Wakati by 2009 mlikuwa 6 million pekee

Kikuyu people - Wikipedia

Kingine hakuna ukabila hapa zaidi naongea ukweli naoujua wakikuyu ndio wanatawala kenya.... Nakumbuka sana 2007 kibaki alikuwa tayari kumuachia odinga ila wazee wakikuyu waligoma kabisa wakaona iwe radhi kenya wauane ila sio mjaluo kushika nchi maana wanajua odinga atawanyoosha haswaaa yaani ardhi itagawanywa upya na upuuzi wa wakikuyu kujazwa serikalini na kupewa matender ya upendeleo kwisha habari yake..

Kama unabisha subiri 2022 pale ambapo Ruto atataka kugombea urais nahisi ndio utaamini maneno yangu kuwa wakikuyu ni wabinafsi sana kupita kiasi mlimtumia musyoka mkamtupa.... Mlimtumia odinga mkamtupa na sasa anafuata ruto naye atajuta kwanini aliwatrust na kuwa kibaraka wenu.

Kingine kma issue ni makabila tu NASA territories make up 45% of all votes...... So hakuna dominance yoyote ya kikuyu in open play elections
 
kwa vile uko madarakani? hapo hutaki mgombane, ukiwa nje? utasemaje?
Mkuu sipo madarakani wala si mkenya wala sina chama
Hujanielewa
Why now mbona EU wasifanye hiyo tathmini wakati wa marudio walijua yote ' my question ni why now'
Kusema kwao kutageuza au badilisha nini?
Haya mataifa makubwa yanasubiri mpaka mambo yaharibike ndio waanze kusema
Mfano mzuri kwa sasa ni Tz wanaona yanayoendelea wanakaa kimya mpaka yaharibike wao waje kuchochea kuni
Nadhani umenielewa Mkuu
 
Nimekupata vizuri. Uko sahihi kabisa. Kinachoendelea hapa wamenyamaza, sijui wazungu wana akili gani?
 
Ni sawa na kuniambia hamna mtu ashawahi ongoza Tz outside Chama tukufu cha CCM.
Una akili za kuku ww,chama ni mjumuiko wa Kàbila,dini na rangi mbali mbali,ndivyo ilivyo ccm,ndio maana mgombea anateuliwa na kukubalika na wananchi wote wenye makabila zaidi ya 123,kenya inategemea wewe unatoka kàbila gani ndio usingie ikulu
 
Kweli mkuu,hii nimenyofoa article moja hii hapa

Intelligence (NSIS), the Chief of the Army, Chief of Police (Police Commissioner), Chief of the terror gang known as General Service Unit (GSU), the Attorney General, the Central Bank, the Ministry of Finance etc are all occupied by Kikuyus. The fear is that once Raila takes power, the Mafia cartel will lose these
 
Huu ukweli hamtaki kuuona,ndio maana mnaua wasimamizi wa uchaguzi ili Jaluo asishinde

Ten Reasons Why Kikuyu Ruling Class Mafia Fears Raila Odinga’s Presidency
 
Calm down jirani,ungetea hoja na sio matusi, ndio maana nikatngulia kusema huo ukweli hamtaki kuuona wala kuusikia, kenya hakuna utaifa Bali kuna taifa.ukitaka ushahidi mwingine ninao.

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuambia walompigia kura Uhuruto ni wakikuyu pekee yake ni nani? Unajiabisha kwa pumba hizi unazochapia hapa. Mimi mkikuyu mara yangu ya kwanza nilipopiga kura nilimpigia Raila Amolo Odinga. Sasa sijui unajipa vidonda vya tumbo bure juu ya nini? 2022 bado sana, uchaguzi huo ukifika sisi WAKENYA tutampigia kura atakaye kuwa na ushawishi mkubwa na maono yaliyo na upeo kwa taifa letu tukufu la Kenya. Wewe utapiga kura huku Kenya? Au ndo utakuwa huko bongo ukikimbiza mwenge na kuimba fisiemu mbele kwa mbele?
 
Your paranoia makes you see Kikuyus even where there are none
 
Calm down jirani,ungetea hoja na sio matusi, ndio maana nikatngulia kusema huo ukweli hamtaki kuuona wala kuusikia, kenya hakuna utaifa Bali kuna taifa.ukitaka ushahidi mwingine ninao.

Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Matusi gani mi nimejibu hoja yako kama ulivoileta. Akili zako nimeziona, finyu sana, kama unaita blog uchwara kama hizo, maoni ya mtu binafsi, evidence, asee umepinda kupindukia. Evidence nayoiona hapo ni ukabila wako tu na unavong'ang'ana kuudhihirisha kwa sababu Tz hukubaliwi kufanya hivo. Kama unafata maswala yanayohusu Kenya kwa fujo zote hizo ni wazi kwamba unaumwa sana na nchi yetu tukufu ya Kenya. Tutaendelea kupaa tu upende usipende. Acha nitumie maneno mliyopenda kuyatamka sana baada ya uchaguzi wenu uliopita, na namba mtaisoma tu!
 
Tanzania kutoka Uhuru
1. Mwalimu Nyerere kabila mzanaki
2. Ali Hassan Mwinyi mswahili Zanzibar
3. Ben Mkapa Machinga
4 Kikwete kabila mkwere
5 John Magufuli kabila msukuma

Kenya toka Uhuru
1. Jomo Kenyatta kabila kikuyu
2. Daniel Moi kabila kalenjin
3. Mwai Kibaki Kikuyu
4. Uhuru Kenyatta Kikuyu

Only 2 tribe ndio wanatawala Kenya tu
Is it fair ?

Politics, Local News
- Kalonzo Musyoka has intensified calls for dialogue between NASA and Jubilee

- Kalonzo says Kenya will be like South Sudan and Somalia if Raila is sworn in on January 30

- He wants President Uhuru and Raila to talk to end the political stand-off
 

Hamna lolote Wakenya wasio wanafiki hukiri wamechagua raisi kutokana na kabila lake. Kenya is the most tribalist nation in the world
 
Mkuu kushinda uchaguzi wa kenya hauhitaji upate kura za kwenye sanduku kma ni kweli niambie ni lini moi kashinda kwa kura..... Kibaki 2007 alishinda kwa kura??? Vp kenyatta 2013 alipozima mitambo walipoona Odinga anaongoza kwa mbali !!! Vp 2017 uhuru alishinda kwa kura wakati mahakama ilifuta matokeo na hakuna marekebisho yoyote yalifanyika but still mkafanya uchaguzi kwa lazima!!!!

Nachosema wakikuyu ndio wanaamua nani anakuwa Rais whether atapata kura 4 pekee bado watamtangaza mshindi na hilo ni sababu mmeshikilia uchumi kimafia hivyo akiingia mtu wa type ya odinga atasafisha hyo nchi hivyo mtafilisika hicho ndio nachosema

Ila kura kama kura anayeshinda anaamuliwa na makabila makubwa yaani lazima uwe mkamba mluhya mjaluo mkikuyu au kalenjin yaani nje ya hapo huwezi kuwa Rais wa kenya hata kma una uwezo na qualifications

Alafu sisi sio wajinga kucomment kuhusu chaguzi zenu za kikabila sababu mnapopata majanga na sisi tunaathirika.... Mkianza kuchinjana mtaanza kukimbilia kwetu au umesahau last year days before uchaguzi watu walikimbia kwa muda kenya ili wapone makucha ya vita za kikabila hivyo sisi kma majirani tuna haki ya kufuatilia chaguzi zenu na kuwashauri maana yakiwashinda mtaanza kutuathiri na ssi
 
Nahii ni blog uchwara?why don't you accept the truth? We need a break from Kikuyu presidents | The Star, Kenya
 
Nyinyi mabongolala wote mlioninukuu hapo juu, swali langu kwenu ni hili. Mtafanya nini kuhusu hao 'wakikuyu' mnaosema wanadhani Kenya ni yao? Mtafika huku Kenya na ukabila wenu kuandamana? Mtakuja Kenya kupigia kura viongozi kutoka 'makabila' hayo mnayoona yanafaa kuongoza wakenya? Au mtabaki tu huko danganyika na ulcers, high BP., stress na frastreshen zenu? Thie mukiumaga nugu ici!
 
Hata ukiandika lugha ya kikuyu Mount Kenya Mafia mwisho wao umekaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…