zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni bora uchama kuliko ukabila..... Nachojua CCM hakina kabila uwe umetoka kabila dogo au kubwa sio kigezo cha wao kukupitisha zaidi labda utoe rushwa ila ukabila bado hawajafika huko sasa utalinganishaje hao na kenya ambao it doesn't matter chama gani upo ila ili wakupitishe lazima ufanye mathematics za kabilaNi sawa na kuniambia hamna mtu ashawahi ongoza Tz outside Chama tukufu cha CCM.
Mfano ruto hata aende NASA leo the entire rift valley will follow him same applies to odinga akienda JUBILEE the entire nyanza itaenda jubilee sasa ndio siasa za aina gani hizo??? No wonder kila uchaguzi huwa kuna tension but trust me mngekuwa hamna ukabila na mnapendana chaguzi zisingekuwa tense kiasi hicho