Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ulitaka wahubiri uasi?Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.
Pia, Soma
Too lateWafukuzeni kabla hawajamlisha sumu Mzee Rungwe.
Huyo Mzee sijui kama atafika October.Too late
Wamekwenda na ile agenda ya nusu mkate aliyoahidiwa Mbowe na Rais kwani kwa mazingira ya kawaida hakuna mtu anaweza kupata ubunge akiwa Chaumma kwani ubunge ni kura jee hizo kura za kupatia ubunge Chauma zitatoka wapi? Hivyo hao tumaini lao ni kupewa ubunge na dola, wakipata ubunge wa jinsi hiyo ni dhahiri utii wao utakuwa kwa dola iliyowapa ubunge na siyo kwa wapiga kura.Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.
Pia, Soma
Hayo wameenda kukichukua chama cha chauma,wanasubiri bosi wao mbowe aje kisha wamalizane na mzee wa ubwawa.Wafukuzeni kabla hawajamlisha sumu Mzee Rungwe.
πππ wanaweza kumtangulizaWafukuzeni kabla hawajamlisha sumu Mzee Rungwe.
Huyo hasidi ni mpumbavuEugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.
Pia, Soma
Na unashikaje dola bila kuwa na wabunge. Kabendera alikitosa chama chake akawekeza kwenye shughuli zake za uanarakati. Wakati ule ukimya wa chama chake ulimfanya aweze chini ya kivuli cha uanaharakati sio uo wa mwanasiasa. Angekuwa committed angekijenga chama chake ili kitambulike zaidi. Sasa wameingia wapambanaji ndio anajifanya mwanasiasa.Lengo kuu la chama cha siasa ni kushija dola
Kwa kuchaguliwa na wananchi, siyo kurushiwa na CCM.Lengo kuu la chama cha siasa ni kushija dola
Na ndio maana lengo kuu la chama dola ni kuzidi kuendelea kushika dola.Lengo kuu la chama cha siasa ni kushija dola
InasikitishaEugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.
Pia, Soma