LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
kah! Mbona povu hivyo?Ulitaka wahubiri uasi?
kah! Mbona povu hivyo?Ulitaka wahubiri uasi?
cha msingi aondoke chama hicho kwa heshima awaachie walafi haoHuyo Mzee sijui kama atafika October.
ni kweli wale hawawezi kupata kura halali, chauma haina rekodi za kupata wabunge, labda wapewe ubunge wa bwerere ki manueverWamekwenda na ile agenda ya nusu mkate aliyoahidiwa Mbowe na Rais kwani kwa mazingira ya kawaida hakuna mtu anaweza kupata ubunge akiwa Chaumma kwani ubunge ni kura jee hizo kura za kupatia ubunge Chauma zitatoka wapi? Hivyo hao tumaini lao ni kupewa ubunge na dola, wakipata ubunge wa jinsi hiyo ni dhahiri utii wao utakuwa kwa dola iliyowapa ubunge na siyo kwa wapiga kura.
mbowe asitake kufanya siasa za mazingaombwe namna hiyo, ni bora akaendelea kukaa kimya tu au aachane na siasa kuliko kwenda kujititimua chauma kufanya siasa za kilaghaiHayo wameenda kukichukua chama cha chauma,wanasubiri bosi wao mbowe aje kisha wamalizane na mzee wa ubwawa.
ni sheikh bon yai?Hakuna kitu watapata huko CHAUMMA kiufupi wametapeliwa
View attachment 3348807
Japo sitoenda kupiga kura ila natamani nikapige hlf zile picha zao nitoboe toboe macho yaoYale majangili 55 yanawaza ruzuku pekee
Mara ngapi? Mzee anàkuambia akija mbowe yupo tiyari kumpisha kwenye kiti!Wafukuzeni kabla hawajamlisha sumu Mzee Rungwe.
Hakuna uchaguzi zaidi ya maigizoJapo sitoenda kupiga kura ila natamani nikapige hlf zile picha zao nitoboe toboe macho yao
Ndio yeyeni sheikh bon yai?