Pamoja na adhabu hiyo bado kuna adhabu kali kwa wazinzi wote siku ile ya mwisho. Adhabu hiyo ni kutupwa katika moto wa milele.Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wameshenyetwa
Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni, inasemekana alitembea na mke wa mtu jamaa akawa anamchorea timing jana usiku akaingia kwenye 18 za wahuni, wakamshenyeta sana
Watu wakamshauri akaishtaki lakini yeye mwenyewe nafsi ikamsuta kwa fedhea aliyoipata akapotezea
Suleiman alikuwa na official wives 700, na wa mazungumzo 300Pamoja na adhabu hiyo bado kuna adhabu kali kwa wazinzi wote siku ile ya mwisho. Adhabu hiyo ni kutupwa katika moto wa milele.
Sasa wamemshenyenta jamaa bila kumuadhibu na huyo mwanamke?Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wameshenyetwa
Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni.
Inasemekana alitembea na mke wa mtu jamaa akawa anamlia timing jana usiku akaingia kwenye 18 za wahuni wakamshenyeta sana sijui kama atarudi hali yake ya kawaida kama zamani ama ndo kashaleftishwa kwenye urijali mazima
Watu wakamshauri akaishtaki lakini yeye mwenyewe nafsi ikamsuta kwa fedhea aliyoipata akapotezea.
Aisee wake za watu sio Dili ohoooEupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wameshenyetwa
Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni.
Inasemekana alitembea na mke wa mtu jamaa akawa anamlia timing jana usiku akaingia kwenye 18 za wahuni wakamshenyeta sana sijui kama atarudi hali yake ya kawaida kama zamani ama ndo kashaleftishwa kwenye urijali mazima
Watu wakamshauri akaishtaki lakini yeye mwenyewe nafsi ikamsuta kwa fedhea aliyoipata akapotezea.
Aisee hii wapi hiiA
Aisee wake za watu sio Dili ohooo
Hata sijajua ni wapiii hiyo Ngoma mbona kama sio Tanzania hiviAisee hii wapi hii
Dah jamaa kawashwa moto hapo hapo,A
Aisee wake za watu sio Dili ohooo