Messi aoneshe picha kama hizi na yeye!CR7 kwenye individual achivement hakuna ambacho hajatimiza ila alibakiza hili ambalo jana kalitimiza na ndio maana kwa muda mrefu watu wamekua wakilaumu kua pamoja na mafanikio yake kwenye clubs sio lolote kwenye timu ya taifa ila jana kamaliza fitina.
Kwangu kubeba ndoo jana ni kila kitu kwa CR7 naamini hata yeye ndoto yake ilikua kufanya lile alilofanya jana akiwa captain wa Ureno.
View attachment 365225
View attachment 365226
Hizi picha zitabaki milele kwenye kumbukumbu za CR7 na Wareno.
Kapata silver boot na hata haja jali kamgawia bwana naniHatimae juhudi za Vyombo vya habari vya Uingereza kutaka kutengeneza namna Cristiano Ronaldo aonekane anafanya vizuri katika Mashindano ya kimataifa zimegonga mwamba baada ya Washindi wa Tuzo mbalimbali za EURO 2016 kutangazwa ambapo Ronaldo hajaambulia chochote
Mission ya kulazimisha kumkuza Ronaldo dhidi ya Messi imekwama. Atabaki tu na Historia ya kufunga Magoli 3 Mechi zote mpaka Mashindano yanaisha
Washindi wa Tuzo hawa hapa
View attachment 365220
Sliver boot ni kwa nafasi ya 3 kwa ufungaji.Kapata silver boot na hata haja jali kamgawia bwana nani
Uwe unafuatilia habari siyo unakurupuka
Ana assist 1Sliver boot ni kwa nafasi ya 3 kwa ufungaji.
Kuna Gold, Bronze & Silver.
Nani naye amefunga magoli 3 pia.
Silver ni nafas ya piliSliver boot ni kwa nafasi ya 3 kwa ufungaji.
Kuna Gold, Bronze & Silver.
Nani naye amefunga magoli 3 pia.
Sasa wenye magoli ma 3 ni wengi sana.Silver ni nafas ya pili
Ni kweli hata torres mwaka 2012 aliwashinda kina mata japo wote wana magoli ma nne, sababu ni yeye alikuwa na assists nying zaidSasa wenye magoli ma 3 ni wengi sana.
Anyways, hongera kwao.
Ndo mpira huo; Ndio maana hata Ugiriki ilishinda mwaka 2004 ... Mpira una maajabu yake.
Ni kweli hata torres mwaka 2012 aliwashinda kina mata japo wote wana magoli ma nne, sababu ni yeye alikuwa na assists nying zaid
So Ronaldo katika wenye magoli ma 3 yeye alikuwa na assist nying zaid
Ndo anapata kwa merit hyo
AsanteUmewakilisha vema...
Asante
Mimi ni shabiki wa Ronaldo
Tena wa kugala gala kabsaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakubaliana nawe.
Umewakilisha vizuri kwa hoja.
Kama bado ataendelea kubisha, ajiulize kwanini "moth" walilia pamoja na Ronaldo. Mwisho, akaibuka na kicheko.
Huyo moth yaan hadi alifunguliwa account ya twitter hiyo jana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]ALIPEWA TUZO INAYOITWA KISOGONI
Duh, mimi simoALIPEWA TUZO INAYOITWA KISOGONI
Anawakimbiaje Babu hebu fafanua nisibitishe usemalo.Cristiano kama Lipumba tu, anawakimbia wenzake halafu baadae anataka aje achukue ujiko kirahisi