JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Haaa! umenishinda tabia! Kama Lipumba [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ?Cristiano kama Lipumba tu, anawakimbia wenzake halafu baadae anataka aje achukue ujiko kirahisi
Uko radhi kumfuata Morocco?Asante
Mimi ni shabiki wa Ronaldo
Tena wa kugala gala kabsaa
Salaaaale!!!Uko radhi kumfuata Morocco?
Sasa Morocco na mpira vina ingilianaje!!?Uko radhi kumfuata Morocco?
Sorry, only joking brother!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sasa Morocco na mpira vina ingilianaje!!?
Usi comment ukiwa umelewa tafadhali
Duh, Antoine Griezman
Silver Medal.Alipewa kiatu cha silver ila akaamua kumpa luis nani vipi messi alitoka n nn kwny copa america
aliona aibu. Hakuna alichofanya na timu yao ya kuungaunga. Ndondokela ile.Alipewa kiatu cha silver ila akaamua kumpa luis nani vipi messi alitoka n nn kwny copa america