EURO 2016: Ugomvi wa Mashabiki, shida ni nini?


Yes, warusi wanapendana kweli hawana unafiki.
Viingereza ni vijinga mno, havina nguvu
wala nini halafu vinajidai vibabe.
 
Ye
Waingereza Ni fujo Sana kila EURO wao Tu nakumbuka ureno 2004 pia walileta fujo this time wamekutana na wagumu na bado watanyooshwa na Pinda kasema wapigwe Tu maana hamna namna.
ah,nadhan ilikuwa Uturuki ile
 
Vyombo vyao habari vinadai wale Ni thugs or hooligans! Waingereza wapuuzi Sana sijawahi ona ngoja watandikwe warusi alafu uchokozi walianza wao. This time watakoma.
Ofkozi,inaeleweka kuwa mashabiki wa kiingereza ni wagomvi sana,sasa labda warusi waliwatwanga sana ndo maana adhabu imewaangukia,tabia za waingereza kama mashabiki wa nchi za kiarabu
 

Mshikemshike kati ya mashabiki wa Urusi na wa Uingereza
 
Warusi Ni nouma wale mashabiki acha kabisa wana uwanja wao wa kujifua wako full pale wacha kabisa wanaongozwa na manjemba wa Locomotive Moscow hao watu Ni shida tupu Ata front wanaingia na arms.

Waingereza Ni wachumba kwa warusi.
 
Nasikia washabiki wa Russia walishushwa ufaransa na ndege ya putin,,
usikute jamaa alipanga tangu mwanzo kuwapa dispiline,maana tangu wamwekee vikwazo ana machungu nao sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…