Warusi wanapendana Sana hao mashabiki Kuna baadhi wamepelekwa France kwa hisani ya serikali hapo hapo Kuna wale wababe wanaopiga dojo wote masensei karibu na Club ya Locomotive Moscow. Waingereza tatizo dharau alafu pumzi hamna wakati Ata demu Ni mbabe.
Yes, warusi wanapendana kweli hawana unafiki.
Viingereza ni vijinga mno, havina nguvu
wala nini halafu vinajidai vibabe.