EURO 2016: Ugomvi wa Mashabiki, shida ni nini?

EURO 2016: Ugomvi wa Mashabiki, shida ni nini?

Nasikia washabiki wa Russia walishushwa ufaransa na ndege ya putin,,
usikute jamaa alipanga tangu mwanzo kuwapa dispiline,maana tangu wamwekee vikwazo ana machungu nao sana
wapo waliochangiwa na govt kwenda FRANCE
 
Pombe ndio sababu ya vurugu hizo. Madhara ya pombe sio mazuri kama huamini kamwulize kitwanga
 
Nasikia washabiki wa Russia walishushwa ufaransa na ndege ya putin,,
usikute jamaa alipanga tangu mwanzo kuwapa dispiline,maana tangu wamwekee vikwazo ana machungu nao sana
Nawasi wasi puting,alipeleka wanajeshi ama makomando kule,kwa akili ya kawaida huwez kupigana kwa kujiamin eneo la mtu tena ugenini,kumbuka komando mmoja anaweza akapigana na raia 50 ambao hawana mazoezi ya kutosha na akawavuruga ndani ya dk20,anachofanya yeye ni kupiga zile pressures point,unapigwa moja huamki anaendele na mkong'oto jazz band..
 
umenichekesha mono
 
Tatizo kubwa ni kwamba kuna ugomvi wa asili kati ya nchi za Ulaya Magharibi na Urusi hasa ni kuwadharau watu wa Urusi. Urusi wana mashabiki ambao yaonekana kama wanamafunzo ya kujihami na wana nguvu sana ukilinganisha na mashabiki wa Uingereza. Ndio maana mashabiki wa Uingereza walikung'utwa sana na ikawalazimu kuilalamikia UEFA. Pia yaonekana lile tukio la Uingereza kushindwa na Urusi katika kuandaa World Cup 2018 bado halijaisha akilini mwa waingereza. Ule mzimu bado unawasumbua Waingereza hivyo kujenga zaidi uhasama kati ya nchi hizo mbili.

Hongera....wewe ni mwelewa wa issues
 
Warusi Ni nouma wale mashabiki acha kabisa wana uwanja wao wa kujifua wako full pale wacha kabisa wanaongozwa na manjemba wa Locomotive Moscow hao watu Ni shida tupu Ata front wanaingia na arms.

Waingereza Ni wachumba kwa warusi.

....huyo jamaa wa Lokomotiv Moscow jana amehukumiwa miaka miwili jela na mahakama ya ufaransa.
source: skysports.
 
....hii issue ina scenario nyingi,ila kwangu naona hawa watu kupangwa kundi moja ndio chanzo cha yote.
 
Huyo aliehukumiwa Ni moja wapo wengi asee kikosi Chao kina manjemba hatari wako fiti kila mahali. Waingereza kamwe hawawezi hilo battle. Alafu wanaback up ya serikali .
....huyo jamaa wa Lokomotiv Moscow jana amehukumiwa miaka miwili jela na mahakama ya ufaransa.
source: skysports.
 
So hapa kuna chembechembe za Cold War?Halafu mbona mashabiki wa Uingereza huwa wanafanya sana vurugu kwenye mashindano mbalimbali,lakini this time Urusi imekumbana na adhabu kali sana ya UEFA?
kama uliangalia video nyingi kwe social media utaona jinc washamiki wa russia walivyokua wanapiga fujo..hata baada ya mechi kati ya england na russia jamaa walivamia jukwaa la mashabiki wa uingereza na kuanza kutoa kichapo...wegine walitimuliwa ufaransa warudi kwao wakapitia huko ujeruman pia wakatoa chapo heavy kwa watalii wa kihispania
 
Duuh, watakuwa wanatumia cha Arusha hao
 
Huyu putin huenda alipelela wanajeshi,ili wawanyooshe waingereza,yaani watoto wa mama Eliza wamechezea kichapo mpaka wanakimbilia ndani ya pub,utadhani wale waliokuwa wakiwakimbia Panya Road.
Actually those Russian hooligans weren't normal fans but well trained soldiers and seemed to have been prepared to overcome any situation in the field that's why apiece of them who caught an Englishman provided a heavy "mkong'oto" which have never ever witnessed before under the sun.
Jamaa walikuwa wanagawa moja tu "muzungu" anaomba pooo, acha kabisa Warusi kila mtu ni komando.
Leo hii Waingereza hawana hamu kabisa.
 
Urusi wanaonaga wanabaguliwa na hawa wazungu wanaojidai wao ndiyo wao.
Hawa warusi lazima wameenda kuwashikisha adabu hawa waingereza wanaojidai wana vifujofujo vyao vya kitoto
Na hiyo ni msg tosha kuwa 2018 wasipeleke utoto wao huko Russia.
 
Urusi wanaonaga wanabaguliwa na hawa wazungu wanaojidai wao ndiyo wao.
Hawa warusi lazima wameenda kuwashikisha adabu hawa waingereza wanaojidai wana vifujofujo vyao vya kitoto
Na hiyo ni msg tosha kuwa 2018 Waingereza wasipeleke utoto wao huko Russia.
 
Actually those Russian hooligans weren't normal fans but well trained soldiers and seemed to have been prepared to overcome any situation in the field that's why apiece of them who caught an Englishman provided a heavy "mkong'oto" which have never ever witnessed before under the sun.
Jamaa walikuwa wanagawa moja tu "muzungu" anaomba pooo, acha kabisa Warusi kila mtu ni komando.
Leo hii Waingereza hawana hamu kabisa.
His ndio vita baroda yenyewe,kola pahang mtu anapopata opportunity, anaigeuza battle field.
 
Back
Top Bottom