Bavarian8
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 656
- 1,447
Dah kama shabiki kindaki ndaki wa Germany na ligi ya Bundersliga. Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni nina sana tulilopo but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vipaji hatari.
Kwa wale mashabiki wa Ujerumani tujuane, mapema Ila kundi ni gumu balaa but..
Kwa wale mashabiki wa Ujerumani tujuane, mapema Ila kundi ni gumu balaa but..