EURO 2020 final draw

EURO 2020 final draw

Bavarian8

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
656
Reaction score
1,447
Dah kama shabiki kindaki ndaki wa Germany na ligi ya Bundersliga. Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni nina sana tulilopo but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vipaji hatari.

Kwa wale mashabiki wa Ujerumani tujuane, mapema Ila kundi ni gumu balaa but..

Screenshot_20191130-212408~2.jpeg
 
Ngoja nicheki ni Nani apo anazingua manake duh!!!
Aiseee,hilo gurupu EFU ni zaidi ya IS,AL-SHAABAB etc....kiruuuuuu....bad lucky,no Lithuania...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au ni hiyo chance iliyobaki!?
 
Kossovo na Bulgaria mkuu hapo atakaeshinda ndo anaenda
Aiseee,hilo gurupu EFU ni zaidi ya IS,AL-SHAABAB etc....kiruuuuuu....bad lucky,no Lithuania...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au ni hiyo chance iliyobaki!?
 
Dah kama shabiki kindaki ndaki wa GERMANY ,na ligi ya Bundersliga ! Napenda kusema kwamba hili kundi letu ni Nina Sana tulilopo du but tutashinda tuna vijana wengi Sana wabichi wenye vpaji hatareeee
Kwa wale mashabiki wa ujerumani tujuane ,mapema Ila kundi ni gumu balaa but[emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629][emoji629]View attachment 1277555
Duh tutatoboa kweli?
 
Back
Top Bottom