Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hv Kuna haja ya kulipia DStv tena ...game zilizobakia n za kuangalia Bar tuu ....wasenge hawa wali block channel 224 kwa sisi watu wa kipato Cha chini ...
 
England akikutana na mpira wa kihuni wa Denmark au hawa Waswizi hachomoki.
Ngoja tuone atakutana na nani kati ya Sweden na Ukraine.
Naona njia bado nyeupe pale, akifanikiwa kuja kukutana na Denmark patachimbika
 
Denmark na Czesh replublic, Switzerland Kuna uwezekano mkubwa mmoja wao akachukua EURO 2020 hz timu tatu zinacheza kwa utulivu mkubwa sana
 
Naona watu wanahamisha magoli tuu ,mnapeleka majeshi kwa spain eeeh...!


Belgium namuaona final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…