Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mkuu Chana andika karatasi jengine tuMasikini mkeka wangu, ngoja nisubiri saa 4 nije nishuhudie tens jinsi Sweden atakavyoliwa kimasiharaView attachment 1834850
Acha dharauKane katika michuano hii hana tofauti na Mbappe
Ni Austria siyo Australia ,nchi mbili tofautiItaly anafatia, ni lazima aage mashindano.Yaani kwa ule mpira aliopiga na Australia,sioni alifika mbali.
Bingwa Denmark, Ili tumuenzi vizuri Ericksen.
HahahaAcha dharau
Naupdate hivi hivi ili nisipoteze kumbukumbu.Mkuu Chana andika karatasi jengine tu
Huu mpira unaochezwa tangu jana hata World Cup iende shule ikasomeNaona watu mnaichukulia poa Belgium..
Tatzo la Belgium hawaeleweki, Italy akitoboa robo, kombe lakeNaona watu mnaichukulia poa Belgium..
Kudadadeki yamekwishaKarata yangu
1 Ujerumani[emoji777]
2. Portugal [emoji777]
3.France[emoji777]
The three lions tukutane hapa
Italy anafatia, ni lazima aage mashindano.Yaani kwa ule mpira aliopiga na Australia,sioni alifika mbali.
Bingwa Denmark, Ili tumuenzi vizuri Ericksen.
Bingwa atatoka kundi la kifo F
Wakumbuka mzee mwenzangu world cup ilopita walitusema sana lakini tulifika mbaliNipo hapa
Ila kweli aisee, toka Knockout Ianze Euro Hii imekuwa na msisimko sana.Huu mpira unaochezwa tangu jana hata World Cup iende shule ikasome
Kimeumana daaahKwani Jana hukutegemea France kuingia robo fainali kirahisi?
Daaaah ni noumer aseeehUnaonaje sasa, zile ndoto za kuingia fainali kirahisi bado zipo?
Japo leo Germany sikutegemea kwa kweli.,Ila kweli aisee, toka Knockout Ianze Euro Hii imekuwa na msisimko sana.
Yaan sina hata hamu kabisa, daaaah