Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Muller kushindwa kucapitalize ile chansi ndo kumewaondoa wajerumani japo walikuwa hovyo labda penalt zingekuja kuwabeba.

Group F wote nje..ololooo

Luka Shaw kijana wangu ni best left back in Europe kwa sasa.
 
Hv Kuna haja ya kulipia DStv tena ...game zilizobakia n za kuangalia Bar tuu ....wasenge hawa wali block channel 224 kwa sisi watu wa kipato Cha chini ...
Starehe haijawahi kitu affordable kwa kila mtu..
 
Sisi waitaliano ngoja tuvute subiri mpaka Ijumaa tuone kama hiki kikombe cha majina makubwa kutolewa tutakiepuka.
 
Hv Kuna haja ya kulipia DStv tena ...game zilizobakia n za kuangalia Bar tuu ....wasenge hawa wali block channel 224 kwa sisi watu wa kipato Cha chini ...
Alafu kwenye ile 225 wanarusha game ambazo hazina mvuto,zile game zenye amsha hawawezi kabisa.Kwamfano leo,game zote mbili wameziweka 224.Me nimeona ni upgrade tu.
 
Alafu kwenye ile 225 wanarusha game ambazo hazina mvuto,zile game zenye amsha hawawezi kabisa.Kwamfano leo,game zote mbili wameziweka 224.Me nimeona ni upgrade tu.
Wajinga sn,watakimbiwa na watu sn Dstv
 
Takriban robo karne imepita katika uwanja huo huo Gareth Southgate anakosa mkwaju wa penati dhidi ya wajerumani katika mchezo wa nusu fainali leo anawaongoza vijana wake na kupata ushindi kama kisasi vile nadhani leo anaweza kulala usingizi mnono sababu kalipa kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…