Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Zinchekooooo woooow ...

Mpaka sasa wachezaji wa city ambao wameshatupia magoli hukooo euro

kDB - Belgium

Ferrain Torres -Spain

Sterling- england

Laporte - Spain.

Zincheko - Ukraine


This is our city ..!
 
rangi za upinde wa mvua (Rainbow colour [emoji304]) kwenye Euro 2020 nani amegundua kitu hapa?
  • Makepteni wote vitambaa vyao ni rangi hiyo.
  • Mabango(LCD) background kuna rangi hizo.
Wazungu wakiamua dah! Yan kumbe wanatetea haki za kishoga bhana!!

Huku Ulaya hii ni wiki ya maadhimisho ya haki za mashoga, wasagaji, waliobadilisha jinsia na wengine wote kwenye hilo kundi.

Zoezi huwa linahitimishwa kwa maandamano makubwa ya kitaifa alafu moja ya kufa mtu yanaandaliwa katika nchi moja mwanachama wa jumuiya ya Ulaya. Hayo maandamano yanahudhuriwa na watu kutoka mataifa mbali mbali ya Ulaya na wanajisajili kama washiriki wa Kili marathon vile.

Kila nchi mwanachama inapeperusha hiyo bendera wiki mzima katika baadhi ya halimashauri na miji.

Waajiri wakubwa kwa wadogo wanatoa zawadi zilizopbwa na rangi hizo.

Ndo maana unaiona huko kwenye runinga. Wiki ijayo hazitaonyeshwa.
 
Tulitaka tuwapige nne hawa kama walivyo tupiga kule south Africa 2010 sema wana bahati tunawapiga chache tuu
Na mbuka lile goli la Frank Lampard likikataliwa ndo likawavunja moto kabisa. Hata hivyo hawakufika mbali next round walitolewa na Hispaniya
 
THE GROUP OF DEATH :

🇲🇫 Dead
🇩🇪 Dead
🇵🇹 Dead
🇭🇺 Dead
Them use all demma energy play group stage😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…