Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mm ni team underdogs woteKama timu yako ya awali haipo, unaruhusiwa kutafuta mpya, hyo ndii ratiba ya robo fainali
View attachment 1835635
Mbona umekata tamaa mapemaSitaki team yeyote hapa, na mashindano yamepoteza mvuto kwangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah sawaMm ni team underdogs wote
Czech na ukraine na denmark
Duuuh kumbeTimu zote zenye wachezaji wa Chelsea kuanzia watatu zimetolewa..
Ukiwaweka bench wachezaji wa Chelsea kama England wanavyofanya ndo unashinda..
Ollachuga ndio doha city???Halikuwa goli la kawaida mkuu ..ule mzigo ulinyooshwa haswa.
Yeah yeah ndio mkuu ndio Mimi aise, nimebadili ID.Ollachuga ndio doha city???
Acha masikhara mkuu.Timu zote zenye wachezaji wa Chelsea kuanzia watatu zimetolewa..
Ukiwaweka bench wachezaji wa Chelsea kama England wanavyofanya ndo unashinda..
Kazi iendeleeeeeeeYeah yeah ndio mkuu ndio Mimi aise, nimebadili ID.
Kwa heshima ya mamaaaaaaaKazi iendeleeeeeee
Wala hata mie sinaga kigeu geu, team yangu ikiwa out, bas na mie sina changu hapo.Mbona umekata tamaa mapema
Ni kawaida mkuu hutokea, ila bado kante ni kiungo matata.
Kwahiyo game ya Italy vs Belgium.inabidi Jorginho awekwe benchi ili Italy washinde? Ngoja tuone hili kama linaukweliTimu zote zenye wachezaji wa Chelsea kuanzia watatu zimetolewa..
Ukiwaweka bench wachezaji wa Chelsea kama England wanavyofanya ndo unashinda..
Huyu anawachukia tu wachezaji wa Chelsea.Kwahiyo game ya Italy vs Belgium.inabidi Jorginho awekwe benchi ili Italy washinde? Ngoja tuone hili kama linaukweli
Euro inarejea kesho mkuu..Leo kuna game gani??
Huyu kaleta mambo ya kibongo kwenye soka LA ulaya