Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spain hao hao walibeba ndoo ya Euro 2012 bila ya kuwa na straika
Walikuwa na Xavi na Iniesta

Aina ya viungo wanatokea mara moja kila miaka 30

Hata hivyo football imebadilika sana toka kipindi kile, Tiki taka ilipigwa natural death mwaka 2013 Bayern Munich alivyompiga Barcelona 7-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…