Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,141
Uko vizuri captaingli Azzurri Italia nawapa nafasi kubwa
Na mpk sasa bado hawajapotezaKabisa aisee kwenye qualification hawajapoteza mechi hata moja played 10 won 10
Heko🙌🏻Nawaona italy piq safari hii wakifika mbali.
Kwa macho bet haigomi, si unaona mimi hadi sasa jamvi langu limenona baada ya kushinda mechi 5 mfululizo kuanzia robo fainali hadi nusu hii iliyoisha.
Daah ulikuwa sahihi vzr tuuInsigne , Immobile na Chiesa bila shaka
Sina shaka nao kabisa tangu day 1 🇮🇹🇮🇹Uko vizuri captain
Nakubali mkuuSina shaka nao kabisa tangu day 1 🇮🇹🇮🇹
Litabebewa pale Wembley hawataamini kabisaFrom Home to Rome..who knows??!! [emoji3]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ITALY ndio timu bora duniani kwa sasa, Ila dunia nayo ina maajabu yake kwahiyo lolote laweza kutokezea, Lakini ki standard ya uwezo ITALY ndio Top.
Huruma gani mzee, huyu ndo kocha Bora kwa sasaKwasababu tu ya huruma watamchagua Huyo wa Denmark
Denmark tutawashangaza wengiNgoja nikunjue jamvi hapa, Nusu saa to kick offView attachment 1843775
Kwng Binafs huyu dg anajua sana hana mambo meng yy mtolee sub au muanzishe ukimpa jukumu anatekeleza..Federico Chiesa dg anapiga kazi yake vzr sana.
Ulitisha mzeeMy prediction
1-1..
Italy to win by penalt shootouts.
Joghihno PanenkaBonge la penati kwa Jorginhooo
Ngapi ngapi uko?Hili ni gari la mwsh kbs tunao sbr Copa America..#ArgentinaVsColombia..wadau mpo kwl..
Sioni anapopita England kwa Denmark.
Yusuf Paulsen atatuwakilisha sana wa Tz.....
Ngapi ngapi uko?