GoalChama langu France Lina mapungufu makubwa licha ya utajiri mkubwa wa wachezaji tulio nao yaani Portugal ndo ya kutukimbiza hivi???
Pasi 10/10Second goal. BenzemaView attachment 1828033
Huyu Hungary watu wamemu underrate sana ila anaweza kuleta maajabu hapaFrance 2- 1 Portugal
Hungary 1-0 Germany
Matokeo yakibaki hivi Uingereza atacheza na Hungary
Kapata penati hapaUremo Anabuliwa ubingwa. Bado nusu saa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Mambo bado yako moto sana hapa.Drama.. portugal wanapata penalt ya pili. Cr7 take it....
Gooooaaaaallllllllllllllll 2-2