Hii mechi ya Hungary ni nomaaaFrance 2- 1 Portugal
Hungary 1-0 Germany
Matokeo yakibaki hivi Uingereza atacheza na Hungary
Daaahh, hili kundi mbona burudani sanaHahahahaahahahhaa
Hungary 2-1 Ujerumani
Naunga mkono hojaHungary akifuzu 16 bora yatakuwa maajabu ya haya mashindano, kila mtu alitegemea atapigwa mechi zote.
Yaaani leoo kuna burudani sanaHahaahahahaj german anawekwa cha pili. 2-1 Hungury wanaongoza.
Ila Hali ilivyo Ufaransa wamekuja moto na wanaweza shinda maana kipindi hiki cha pili wako vizuri sanaSio butu. Ni uimara na umakini wa backline ya ufaransa. Ikiongozwa na kimpembe
Bora wapoyeze na Ureno wapate sare maana kushinda hawawezi.Dakika zinaendelea kuyoyoma, Germany mambo bado magumu