Huwa nalizungumza sana hili, Mbape ni mbio tu.Ni heri Coman anaonekana hata cross zake nzuri.....atakaebeba mzigo wa mbappe ajiandae vizuri.....mbappe is overrated kabisa yani mbappe hana yale makali anayopewa na mashabiki
Amenifungia goal zangu 16 mechi 5 sijalipahahahaha mkuu na speed yake sio poa......wacheza loser wanamjua vizuri.
Tusiishi kwa mazoeaFrance anapita vizuri
Heee[emoji15][emoji15][emoji15]Tunaelekea kwenye mikwaju ya penati
Defence ya France imesababisha yote hayaMechi Kali zaidi kwenye mashindano ya Euro this year
Ndiyo lakini waswis wamecheza vizuri sanaDefence ya France imesababisha yote haya
Kwani mechi ngap ngap adi saivUfaransa wanaweza wakatoka kwa mikwaju ya penati kwa mtazamo wangu