Euro Uefa 2016 bila Ronaldo Ingeboa...

Walishinda?

Mchezaji kama Ronaldo kuingia top 16 as best loser ni aibu!

Kwenye makundi unashindwa hata kushinda mechi moja? Utaweza mitoano? Kwa sababu kwenye mitoano ushindi ni lazima.
Yah, Siyo jambo zuri, But ronaldo ni mpiganaji no doubt about that.
 
Jana kafunga magoli mawilli kaasist moja, ana alikuwa mwiba mkali...huo siyo mchango....

Nimesema ni mchango, wakati huo huo nikasema Ronaldo siyo mtu wa kusubiri best loser kuingia Top 16 dhidi ya kina Iceland, Hungary na Austria!
 
ronaldo kwa messi atasubiria sana..argentina ipo fainal na messi anamabao matano mkononi...ila huyo bishoo anayo mawili tena kwa kuwapiga vibonde
 
Reactions: PNC
....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!

...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
 
kwan ronaldo ndio nani mpka euro ikose msisimko??? mbna akina ibrahimovic, lewandolski hawajawika kabsaa kwny euri hii
 
Unavyosema timu mbovu unaangalia jina la nchi o wachezaji o timu inachezaje kwa ujumla.?
 
Ronaldo mbona sijaona kipya alichofanya kwamba bila yeye mashindano yasiwe na mvuto
 
hembu nitajie wachezaji ambao ni bora kwenye haya mashindano...
Bora kiaje yani waliofanya vizuri kwenye haya mashindano au bora duniani waliopo kwenye haya mashindano?
 
Unavyosema timu mbovu unaangalia jina la nchi o wachezaji o timu inachezaje kwa ujumla.?
Na wewe unavyosema mashindano yatakosa mvuto una angalia vigezo gani labda?

Kubali kataa Ronaldo hana jipya kwenye Euro 2016 ..
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…