w
we ni muongo...copa America toka mashindano hayajaanza bingwa anajulikana ni argentina hajafungwa wala kudroo hata mechi moja... kwenye euro hakuna timu iliyoshinda mechi zote na mpaka sasa hivi ni ngumu kutabiri bingwa...
Kwa hiyo kwako wewe copa america ndiyo bora???....uwe unasoma uelewe,hizo timu nilizoziweka hapo juu umeziona? ambazo ndizo ziko kwenye Euro!, halafu mnasema mpk mshindi wa tatu kwenye kundi ana qualify kwa nxt round?!... timu ina point tatu ime draw mechi zote! very poor indeed!, mechi hazivutii kbs unaenda na matokeo kichwani thn yanakuwa kweli!
Timu ya america kusini ni timu gani mkuu?....Ulaya kuna timu mbili tu ambazo naziona zinaweza kusimama na timu ya America Kusini dakika yoyote,GERMANY na SPAIN, nyingine zote average!
Kwa hiyo ukibet unakula mpunga!....uwe unasoma uelewe,hizo timu nilizoziweka hapo juu umeziona? ambazo ndizo ziko kwenye Euro!, halafu mnasema mpk mshindi wa tatu kwenye kundi ana qualify kwa nxt round?!... timu ina point tatu ime draw mechi zote! very poor indeed!, mechi hazivutii kbs unaenda na matokeo kichwani thn yanakuwa kweli!
Spain kakuchukua Euro Mara ngapi mfululizo?kombe la dunia aliishia Wapi??kabla ya kutype tafakari kwanza.Kwa hiyo kwako wewe copa america ndiyo bora???
Mashindano yaliyopita final ilikuwa Argentina v Chile, mwaka huu the same, bado unasema kuna ushindani?
Hao wanaoshindana nao wako wapi?
Haya hao chile world cup wanaishia wapi ambao ndo mabingwa wa copa america?
Kukutana fainal mbili c kigezo cha kuwa mashindano au timu ni mbovu. Kwa sasa kule America kusini timu bora ni Argentina na Chile. Hata fifa world cup ya 1986 na 1990 fainalist walikuwa german na Argentina. Na ndio timu zilizokuwa bora kwa wakati ule kwa dunia.Kwa hiyo kwako wewe copa america ndiyo bora???
Mashindano yaliyopita final ilikuwa Argentina v Chile, mwaka huu the same, bado unasema kuna ushindani?
Hao wanaoshindana nao wako wapi?
Haya hao chile world cup wanaishia wapi ambao ndo mabingwa wa copa america?
Kwa hiyo ukibet unakula mpunga!
yani...amerika ya kusini ndio mwisho wa matatizo..jiulize...huyu messi...james rodrigues.
..suares...neymar...alves..mascherano..vargas...dimaria...higuan...lavess...marcelo..fillipe luis.hahaa wanatoka ulaya..ramires...hahaa tulia
PIA ZAMANI KUNA WATU KAMA ronaldihno..ronaldo delima...rivaldo...batistuta....ivan zamorano..zanet...ivan crespo..requelme...robhino..kaka...carlos..denilson.cafu..dunga...emerson..diego forlan..rademel falcao...gilberto silver..lucio...elber...gleberson..mario jadel...leornado...wote hawa walitokea amerika ya kusini...sio hao nyanya wenu wa ulaya
Kwa hiyo kwako wewe copa america ndiyo bora???
Mashindano yaliyopita final ilikuwa Argentina v Chile, mwaka huu the same, bado unasema kuna ushindani?
Hao wanaoshindana nao wako wapi?
Haya hao chile world cup wanaishia wapi ambao ndo mabingwa wa copa america?
Timu ya america kusini ni timu gani mkuu?
Hivi hizi timu zinazopigwa goli 5+ ndo unazozizungumzia kuwa zinaweza shindana na Spain na Germany tu. Timu kama Venezuela, Bolivia, Panama, sijui na Haiti na the like ambazo Argentina kajifungia anavyotaka ndo zinaweza shindana na Spain na Germany pekee kule Ulaya????
Utakuwa unatania si bure
Yaani wewe Ronaldo unam refer kama timu ha ha ha umemuweka kundi moja na Iceland Hungary na Austria?! Duh!Nimesema ni mchango, wakati huo huo nikasema Ronaldo siyo mtu wa kusubiri best loser kuingia Top 16 dhidi ya kina Iceland, Hungary na Austria!
Akili mbofu sana hizi, kwa nini hujiulizi messi hajashinda kombe la dunia??
Yaani wewe Ronaldo unam refer kama timu ha ha ha umemuweka kundi moja na Iceland Hungary na Austria?! Duh!
Mkuu kwa nini failures za timu anasukumiwa Ronaldo?
Vipi Neymar kule,..kapenya hata makundi...he is a world class player ka kina Messi na Ronaldo...Walishinda?
Mchezaji kama Ronaldo kuingia top 16 as best loser ni aibu!
Kwenye makundi unashindwa hata kushinda mechi moja? Utaweza mitoano? Kwa sababu kwenye mitoano ushindi ni lazima.
Vipi Neymar kule,..kapenya hata makundi...he is a world class player ka kina Messi na Ronaldo...