jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,847
w
we ni muongo...copa America toka mashindano hayajaanza bingwa anajulikana ni argentina hajafungwa wala kudroo hata mechi moja... kwenye euro hakuna timu iliyoshinda mechi zote na mpaka sasa hivi ni ngumu kutabiri bingwa...
😀😀😀: eti mimi ni muongo!, Argentina kujulikana bingwa ni kwasababu ya ubora wake,currently the 1st in FIFA world rankings!, hao wengine hajulikani bingwa coz wote wabovu!😉😉😉