Mwenzake yupo na wenzake wenye uwezo kama wake,..sio Ka cr7 bana,...!!! Mpeleke Messi Ureno kwa squad hii hii ya ureno na cr7 kwa squad ya Argentina utofauti utauona.......mbona hili ni kawaida!,ukiwa star ibebe ttimu,mbona mwenzie Copa America kila siku anatoa assist na magoli anafunga?, yeye anashindwa nini kuifunga Iceland?!
Je,hao waliotoka hawana ma captain kama ndio kirahisi rahisi ivyo,..Kwa nini timu inapofungwa alaumiwa yeye zaidi?
Yeye ni Captain, yeye ni mchezaji bora, hivyo hivyo anatakiwa kuhakikisha anafanya kila liwezekanalo timu inapata mafanikio. Hope unaelewa maana ya kuwa star wa timu.
Je,hao waliotoka hawana ma captain kama ndio kirahisi rahisi ivyo,..
Bet utajirike....uwe unasoma uelewe,hizo timu nilizoziweka hapo juu umeziona? ambazo ndizo ziko kwenye Euro!, halafu mnasema mpk mshindi wa tatu kwenye kundi ana qualify kwa nxt round?!... timu ina point tatu ime draw mechi zote! very poor indeed!, mechi hazivutii kbs unaenda na matokeo kichwani thn yanakuwa kweli!
Nusu fainali,magoli kama Hatua ya kufuzu maana probability ya kukutana na the likes of Taifa staz ni kubwa,..!!...hakuna timu iliyochukua kombe la dunia ila ushindani upo zaidi ya EURO 2016!
Uwepo wake chachu kubwa sanaa,Najiuliza bila huyu mkali wa soka EURO itakuwa na cha kuangalia kweli!?
Wewe unalinganisha timu bora za America na timu mbovu za ulaya. Unapotaja Argentina ,Brazil, Chile, Uruguay, Colombia ulaya inabidi utaje Spain, France, Germany, Italy, Belgium nkUmemwangalia?
Kafanya nini mpaka sasa?
....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
Ww jamaa haufatilii Yale mashindano kwahyo kaa kimya,Vipi Neymar kule,..kapenya hata makundi...he is a world class player ka kina Messi na Ronaldo...
Mbona bale yupo na wales na ana shine?Mwenzake yupo na wenzake wenye uwezo kama wake,..sio Ka cr7 bana,...!!! Mpeleke Messi Ureno kwa squad hii hii ya ureno na cr7 kwa squad ya Argentina utofauti utauona...
Huwezi fananisha kikosi cha ureno n argentina, Argentina kila idara wana world classic playersronaldo kwa messi atasubiria sana..argentina ipo fainal na messi anamabao matano mkononi...ila huyo bishoo anayo mawili tena kwa kuwapiga vibonde
Mkuu tatzo sio kikosi mbna bale yupo wales na anafanya vizuri??Huwezi fananisha kikosi cha ureno n argentina, Argentina kila idara wana world classic players
Vipi Neymar kule,..kapenya hata makundi...he is a world class player ka kina Messi na Ronaldo...
Mwenzake yupo na wenzake wenye uwezo kama wake,..sio Ka cr7 bana,...!!! Mpeleke Messi Ureno kwa squad hii hii ya ureno na cr7 kwa squad ya Argentina utofauti utauona...
Wewe unalinganisha timu bora za America na timu mbovu za ulaya. Unapotaja Argentina ,Brazil, Chile, Uruguay, Colombia ulaya inabidi utaje Spain, France, Germany, Italy, Belgium nk
Mkuu tatzo sio kikosi mbna bale yupo wales na anafanya vizuri??
Kheri yako ujuaye Mkuu",.....uwezo kama wake?!, hamna kitu unajua wewe!, umeona 'assist' anazozitoa Messi kwa wenzake?.. hata Mwaikimba atafunga,kama hujui hujui tu!
Sema unajivunia German the best team ever wote waliobaki ni makalai, na mwaka huu German tutabeba ndoo na hakuna wa kutuzuia [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hiyo Argentina timu ya miaka 86 wakati wa maradona miaka ya sasa tunazitambua brazil Italy Spain France German .Argentina yako ya miaka ya 86 baki nayo wewe ,wawe kwenye rank wasiwe world cup ijayo kombe lina baki ulaya all time top score wa kombe kubwa duniani anaendelea kuwa wa ulaya .na nachojua wanapokutana world cup final timu ya ulaya isiyojua na Argentina inayojua kombe linabaki ulaya najivunia timu za ulaya.
Unashindwa hata kutabiri kuwa German ndo bingwa [emoji39] [emoji39] [emoji39]w
we ni muongo...copa America toka mashindano hayajaanza bingwa anajulikana ni argentina hajafungwa wala kudroo hata mechi moja... kwenye euro hakuna timu iliyoshinda mechi zote na mpaka sasa hivi ni ngumu kutabiri bingwa...