The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mwenzake yupo na wenzake wenye uwezo kama wake,..sio Ka cr7 bana,...!!! Mpeleke Messi Ureno kwa squad hii hii ya ureno na cr7 kwa squad ya Argentina utofauti utauona.......mbona hili ni kawaida!,ukiwa star ibebe ttimu,mbona mwenzie Copa America kila siku anatoa assist na magoli anafunga?, yeye anashindwa nini kuifunga Iceland?!