Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,517
- 4,477
Nziku, lakini hata ule ufundi wao wa mbele hawakuuonesha ipasavyo leo.. wamenikera! Ngoja nimpigie simu rafiki yangu Mreno kumpa pole...
Kweli Mkuu, huyu winga ya kushoto Simao alikuwa na opportunity nyingi ambazo amecheza ovyo. Nadhani Nani angeingia mapema may be angebadili mambo. Ronaldo hajacheza kama mchezaji anayetegemewa, sisemi hajacheza vizuri bali mchango wake ulikuwa mdogo mno.