Nziku, lakini hata ule ufundi wao wa mbele hawakuuonesha ipasavyo leo.. wamenikera! Ngoja nimpigie simu rafiki yangu Mreno kumpa pole...
Hivi hizi Kilomita wanazotauandikia ati wachezaji wamekimbia uwanjani wanazipimaje?
Huyu Fereirra mtambo kweli kamuachia balack akatumbukiza cha 3.....
Kipa na mabeki wameiua Ureno
..mchongoma, stubbornness ya Turkey is unmatched and unpredictable.... mechi kama hiyo siwezi ku-gamble hata kidogo!! Mechi ninayo isubiri kwa hamu ni Holland vs Russia.... kisha kama waduch wanashinda, basi waduch hao na wajerumani 'wenyewe'!!!
To be hoest am down!!!!
What a silly peformance from Portugal?, jamaa somo la ''set pieces'' naona waliruka mazoezini, unajua kufungwa bao mbili from the same angle katika michuano mikubwa kama hii ni udhaifu mkubwa sana.
Poor defending!!!, nilikuwa nawapenda Portugal kutokana na ukweli kwamba kuna ladha flani katika soka yao, then kuna Spain na Holland.
Nahamia Holland, wakitolewa na hao nabakia kuwa ''international obsever''.
Hapa inaonyesha waliokuwa kwenye magurupu watakutana tena I mean Germany vs Croatia naJamani nilishasema usiombe kukutana na ITALY & GERMANY kwenye round kama hizi ni bora ukutane nao kwenye makundi
Nawaonea huruma sana SPAIN kwani na wao safari imewadia
To be hoest am down!!!!
What a silly peformance from Portugal?, jamaa somo la ''set pieces'' naona waliruka mazoezini, unajua kufungwa bao mbili from the same angle katika michuano mikubwa kama hii ni udhaifu mkubwa sana.
Poor defending!!!, nilikuwa nawapenda Portugal kutokana na ukweli kwamba kuna ladha flani katika soka yao, then kuna Spain na Holland.
Nahamia Holland, wakitolewa na hao nabakia kuwa ''international obsever''.
Uingereza vipi, hawakukwolifai?
waota Nyani
Mama, vipi tena? Naota kivipi?