***Euro2008***

Mama hapa ni 0 kwa 0 na mpira unakaribia kuisha naona leo wataingia kwenye penati

Nilipania sana kuiangalia hii match ila ndio hivyo tena, nilihisi kutakuwa na kimbembe, yaweza kwenda hadi kwenye penalts wababe hao.
 
Nilipania sana kuiangalia hii match, nilihisi kutakuwa na kimbembe, yaweza kwenda hadi kwenye penalts wababe hao.
Muda wa kwanza umeisha bila kufungana sasa wanaongezwa 30 minutes
 
ngoma ya leo ni nzito, hata hivyo Crotia wamekosa umakini tu. Hii ngoma inakwenda hadi penalti.
 
2nd extra time kuna uwezekano mtu akalia... na Croats wamezidiwa, lakini......
 
Si mchezo Germany na Croatia for semi fina
 
These boys deserved to win, it would have been so harsh for them to be knocked out on penalties, kipa amewacost kichizi!
 
......mambo hayo,....Croats Vs Germany,..
 
damn!...unbelievable!!!!!!!!!!!
 
Jamani football si mchezo sikutegemea kama kutakuwa na kusawazisha
 
Leo nimeamini dua zinafanya kazi na tarajia wacroatia kulegea miguu na kuliona goli dogooo kwenye matuta!
 
Jamani nani mfungaji wa Turkey, Rustu? na wa Croatia je, that was a match worth watching.
 
Nilitabiri kwamba litakwenda hadi penalt, game limebalance na wote wanaonyesha kutokuwa na bahati au kukosa umakini. Sasa matuta, hope Crotia watapita.
 
...hawa waturuki kweli 'kisiki matata' ...kwenye matuta hakuna utabiri hapo, inategemea na 'zali' lake tu mtu siku hiyo!...

dah, I wish Croats wangeshinda, Only lapse of concetration ndio imewa-cost hawa Croats,...
 
...my 'pendulum' swings ndivyo sivyo leo, the game is over kwa Croats!
 
... miye nimeacha kuangalia... radio nimezima na tv nimezima!!!! I told you... Turkey wameshiba kebab nyingi mno..... hawatabiliki!!! si unajua tena.. ukiagiza kebab kuna mawili.... utaila na kuipenda au itakutapisha. full stop!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…