***Euro2008***

***Euro2008***

Deutsch wanacharuka lakini wanakumbana na industrious España defence.
 
Xabi Alonso replaces Fabregas ..... Germany are all out trying to get an equaliser ...........

Also Silva replaced by Cazorla ............
 
Last edited:
Huyu Schweinsteiger inabidi atolewe...Poor performance kutoka kwake jioni hii.....!!! Ila looks like Germany are done!!!....at least that is how I see it
 
olalalaaaa, ndio bai bai du hiyo kwa Deutschland.

España long waiting for trophy comes close.
 
Three added minutes extra time .......................its all over for Germany........ only seconds now....Chancellor Angela alikuwepo uwanjani kushuhudia kibandiko.
 
Spain are kings of Europe ..............
 
First major title for 44 years, congrats España
 
Nice Spain, the Euro champions 2008 without lossing any match, CONGRATULATION.
 
Spain were by far the better side and they so deserved to win, they have simply been the best team of this tournament, the only team that has managed to win all its game!
 
Spain hawakupoteza hata mechi moja. Wanastahili ubingwa jamani.
 
Kuna thread zinaisha vizuuuri kama hii.....sasa tukabishane kwenye Siasa.....Ballack inabidi aende kwa mganga kalost finals nyingi.....WC 2002,Uefa Championi league na hii tena....
 
Spain victories:
10/06/2008 - Russia 4 - 1
14/06/2008 - Sweden 2 - 1
18/06/2008 - Greece 2 - 1

QF:22/06/2008 - Italy 0 - 0* (won by penalties)
HF:26/06/2008 - Russia 3 - 0
F:29/06/2008 - Germany 1 - 0

Carlberg man of the match award winner

man of the match.jpg
 
Alafu ndio mlikuwa mnataka Uingereza iingie kwenye hii michuano...? wangetupotezea radha ya game na kuleta fujo tuu....Though Ujerumani nao wamepoteza radha..imagine final ingekuwa kati ya Espana na Turkiye?
 
Alafu ndio mlikuwa mnataka Uingereza iingie kwenye hii michuano...? wangetupotezea radha ya game na kuleta fujo tuu....Though Ujerumani nao wamepoteza radha..imagine final ingekuwa kati ya Espana na Turkiye?

Kwani Ugiriki na Swideni wameleta raha gani?
 
Back
Top Bottom