Europa final: Liverpool vs Sevilla

Europa final: Liverpool vs Sevilla

Liverfoooooool ni wakuonewa huruma washakuwa kachumbalii
 
mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Liverfooooooooooool
 
You will never walk alone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
 
Young Africans "Yanga" yafuzu hatua ya makundi!!Mabingwa waTanzania,Afrika mashariki na kati soon watakuwa mabingwa wa Afrika
 
Ukiona had Firmino anafanyiwa Sub ujue maji shingoni
 
You will never walk alone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Unachekelea nini sasa au liver inakuudhi sana kuwepo hapa duniani?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
pigaaaa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
piga Hao kunguruuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Young Africans "Yanga" yafuzu hatua ya makundi!!Mabingwa waTanzania,Afrika mashariki na kati soon watakuwa mabingwa wa Afrika

Yanga wamnunue huyu Origi atawasaidi Sana kuliko hapa Liverpool talent inapotea bure
 
Back
Top Bottom