Europa League Final: Sevilla yatwaa ubingwa baada ya kuifunga Inter Millan 3-2

Europa League Final: Sevilla yatwaa ubingwa baada ya kuifunga Inter Millan 3-2

Arsenal kashacheza na Chelsea. Kampiga 2 - 1 kachukua kombe.

Real Madrid fainali ya kesho anacheza na nani?
Real Madrid amebeba la liga,Arsenal Epl kabeba nini? Real Madrid ana Uefa 13 ,Arsenal ana ngapi? Madrid ana kombe la dunia la Club Arsenal ana nini?
 
Nani kesho
FB_IMG_1597933377079.jpg
 
Ukiwa na urafiki/ushirikiano na timu ya wananchi(YANGA) basi lazima utashinda tu

Hongera sana Sevilla
 
Back
Top Bottom