European cars spare parts

humbleguy

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
226
Reaction score
99
Habari wana JF. Nimefungua duka la spare kwa ajili ya magari ya EUROPE kama VW,AUDI,BMW.M.BENZ,JAGUAR,VOLVO,RENAULT,CITROEN,PEUGEOT,VAUXHALL,OPEL,PORSCHE CAYENNE,L.ROVER RR DISCO 2/3/4 na ALFA ROMEO. Service parts zote ninazo na vifaa vingine vidogo dogo.

Pia naweza kukuagizia spare yoyote kama utahitaji na mimi sina,ndani ya siku 7 inakuwa ishafika. Spare zote naagiza kutoka UK/GERMANY.Pia kuna spare za TOYOTA za UEROPE kama LEXUS IS/GS/RX,RAV4 VANGUARD,AVENSIS,YARIS,COROLLA VERSO. Kuna spare za NISSAN NAVARRA na PATHFINDER.

Pia ninazo DRIVE BELTS na HEAD LAMP BULBS za magari yote ya Europe na japanese za kisasa bila kusahau SPARK PLUGS ORIGINAL kama BOSCH,DENSO,CHAMPION made in Germany.

Pia bila kusahau naleta USED ENGINE,GEARBOX za magari yote ya Ulaya kama BMW,VW,AUDI,MERC BENZ,VOLVO,JAGUAR,L ROVER,LEXUS etc. Hizi naleta kwa order maalum ambazo huwa zinafika hapa ndani ya wiki moja tu.

Duka linaitwa OEM PARTS LTD lipo Kinondoni,nyuma ya soko la ma-TX karibu na kanisa katoliki,wote mnakaribishwa. Pia naweza kukuagizia gari/malori kutoka UK ambako kuna business partner wangu maalum kwa kazi hio. simu zangu ni 0686560365/0712183826. MY WHATTSAPP NUMBER IS 0621984814

Ukipenda kuniagiza spare ya gari tafadhali nipe make,model,year,engine size,manual/auto transmission au kuepuka mlolongo huo nipe VIN/chasis number

NIMEONGEZA HUDUMA,NAFANYA AUTO DIAGNOSIS KWA EUROPEAN MAKES NA JAPANESE MAKES AS WELL, NINA MASHINE YA KISASA KABISA....THE BEST IN BUSINESS

Wote mnakaribishwa.

cc: OLESAIDIMU RRONDO MANI CYBERTEQ Chacha Kisiri Kaizer
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu, hakika tuna upungufu wa maduka ya spare yanayouza spare za magari ya Ulaya, bei tu mkuu bei panga vizuri watu wasiendelee kwenda kwa wale jamaa zetu!
 
Safi sana mkuu hongera kwa hii initiative. Will pass by nikipata nafasi.
 
Mkuu humbleguy kuna uhaba mkubwa wa spare za magari ya ulaya nina uhakika ukijipanga utafanya biashara kubwa sana hasa Toyota za UK kama RAV4,Lexus na Avensis.
 
Last edited by a moderator:
mkuu nina Nissan Navara ina tatizo na Transmission Control Unit/Module (TCU/TCM). Nimeipima na mashine ya Diagnosis imeonyesha error code P1757. Tatizo lipo kwenye Front Brake Solenoid. Unaweza kuRepair hii TCM au kama kuna uwezekana wa Kupata TCM mpya??
nipo Arusha..
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu, hakika tuna upungufu wa maduka ya spare yanayouza spare za magari ya Ulaya, bei tu mkuu bei panga vizuri watu wasiendelee kwenda kwa wale jamaa zetu!

bei zangu ni very reasonable na product za uhakika hamna fake,karibu ujionee.
 

kaka,siwezi kukudanganya kuhusu ufundi siujui ila nina uwezo wa kukuagizia kila kitu cha hio gari....mwambie fundi akwambie nini kinahitajika nitakutumia,nitajitahidi kutafuta tatizo suluhisho la tatizo lako kwa watu wenye hizi gari. nipigie simu tuongee vizuri nahitaji details za gari yako.
 
Mkuu humbleguy kuna uhaba mkubwa wa spare za magari ya ulaya nina uhakika ukijipanga utafanya biashara kubwa sana hasa Toyota za UK kama RAV4,Lexus na Avensis.

nimeona huo uhaba,najitahidi sana kufanya vizuri...nina stock ya service kits ya lexus/rav4/vanguard/avensis za uk za kutosha
 
Na za kimarekani vipi unazo spare? Nina Chevrolet SUV inasumbua kwenye control box AC kuna wakati inagoma kufanya kazi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Na za kimarekani vipi unazo spare? Nina Chevrolet SUV inasumbua kwenye control box AC kuna wakati inagoma kufanya kazi


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums

hio pia naweza kukuagizia kama utanipa details kamili za gari.
 
Brakelyn naomba nitumie PM details za gari yako....ni 2.5Dci au 3.0?? Auto/Manual....au chasis #/VIN ya gari yako
 
Last edited by a moderator:

Nahitaji taa mbili ya kushoto na kulia. Parts no ni
TYC 20-5615 .
Naomba unijulishe bei kwanza.
 
Nahitaji taa mbili ya kushoto na kulia. Parts no ni
TYC 20-5615 .
Naomba unijulishe bei kwanza.

mkuu part number haijakamilika iangalie tena[mfano TYC 20-5612082 ni taa ya toyota avensis] au niambie tu ni gari gani,modelgani,ya mwaka gani then nitajua taa unayohitaji...yapo makampuni mengi yanatengeneza taa.

mfano bmw 2002 520i haoa nishajua taa zake ni zile zina 'angel eye' zina kama ring ukiwasha parking....lakini 1998 bmw 520i haina 'angel eye'
 

hizi spare ni used au brand new?
 

Ni toyota hiace van body na parts no imekamilika. Hata uki google inakuletea picha ya hio taa.
 
Ni toyota hiace van body na parts no imekamilika. Hata uki google inakuletea picha ya hio taa.

nimeiona....website ninayotumia kutambua magari hio part namba ni tyc 20-5615-15-2 unataka mpya used?
 
service parts kama oil/fuel/air/cabin filters ni new....lakini ukitaka kitu kama headlamp ni chaguo lako unataka mpya au used.

Safi sana mkuu,jitahidi bei zako ziwe za kizalendo kabisa,na uwe mkweli kwenye muda hasa unapochukua order ya kumuagiza mtu spare.Hakuna haja kwanini Tanzania hatutumii gari za eroupe wakati congo,zimbabwe na hata zambia watu wanatumia tena used kabisa,wao spare wanapata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…