Wewe ndio pumbaf..!!
Hivi kuna mtu aliyewahi kuivuruga Uganda kama Idd Amin Dada(rip) mpaka Serikali ya Baba wa Taifa ikaingilia kati kwenda kumtoa Nduli Idd Amin? Baada ya Nduli kuondolewa na JWTZ ndipo Tanzania ikamsaidia Obote kurudi lakini naye akaanza kulipiza kisasi kuwaua kabila ya Idd Amin na ili kuepusha hali hiyo Tanzania hiihii ikamsaidia Museveni aliyekuwa anasoma UDSM ili kumwondoa Obote na kukalia kiti Ikulu....!!
Leo Watanzania tunamwona M-7 kama malaika kwa madudu anayowafanyia Waganda...mbona hatufanyi kama tulivyofanya kwa Amin na Obote??? Tuache unafiki..!! Kwa vile Tanzania tumeshindwa kumkemea M-7 kwa upuuzi anaowafanyia Waganda, acha tukae pembeni ili Jumuia za Mataifa mengine zimshughulikie M-7 kama tu tulivyowashughulikia Idd Amin na Obote...!!!