European Union and Red cross bus made in Kenya

nairobae

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Posts
6,602
Reaction score
9,027
The European Union and Red cross bus for the youth is now complete. The bus was made by Kenyan Youth.
GO KENYA GO

 
Wow dude linatisha
Muonekano mzuri na hata rangi
Hiyo design nzuri ila designer nimkosoe kidogo tu kwenye seats angebadilisha hiyo ya kizamani wakabuni kind of sport seats zingependeza zaidi

Hongereni sana
 
ISUZU?
Does ISUZU belongs to nyang'aus?
You plagiarists as usual,
 
ISUZU?
Does ISUZU belongs to nyang'aus?
You plagiarists as usual,
Punguza povu na wivu, Isuzu wakona a full assembly plant ya kutengeneza magari Nairobi. Kama hujui maana ya made enda uliza mwalimu wako.
 
Hii sekta bado hamtoshi, ndio kwa maana hadi wa leo bado clients wenu wanakuja Kenya kuundiwa mabasi. Hahahaha bado munafabricate magari kwa kiwanja.

Kwenye mabasi hamuwezi ifikia Tanzania. Pili hiyo benz haijatengenezewa Kenya
 
Kwenye mabasi hamuwezi ifikia Tanzania. Pili hiyo benz haijatengenezewa Kenya
Mimi ni Mtanzania lakini kwenye bus fabrication hatuwezi wafikia Kenya,hiyo bus imeundwa Kenya,chases ya benz bodi ya kutengenezwa/ kuundwa Kenya.
 
Mpiga rangi hajui kupiga rangi kabisaa,.a sisi tz tunatumia 2 by 2 viti vizuri kama ndege ya ardhini.
Watani viti hivyo TZ tumekoma kutumia,sisi viti vya kulala na charge unapata.
 
Punguza povu na wivu, Isuzu wakona a full assembly plant ya kutengeneza magari Nairobi. Kama hujui maana ya made enda uliza mwalimu wako.
If so!! Kwanini mnasema wakenya ndio wametengeneza?
Kwanini msiseme Isuzu wametengeneza hilo basi?
 
Siku wakiunda kitu kama hiki sio yale madude kama ya Pandora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au Malori aina ya canter na Isuzu yaliyobadilishwa sura na kuwa kama Nebula MNITAG.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…