Tetesi: EuroWagon Kuishtaki TRC Kwa Kuivunjia Mkataba wa Kuleta Vichwa Na Mabahewa ya Treni ya SGR. Je Nchi Kuingia Hasara ya Kulipa Mabilioni Mengine?

Bado naungana na Yeriko kwenye ujasusi wa kiuchumi na cdf kwamba tumeteua wakimbizi kwenye nafasi za maamuzi kwahiyo mambo mengine wanaamua kwa maslahi ya nchi zao! Vetting ya sasa imejaa siasa tupu na uhamiaji na TISS inahangaika na wakosoaji wa ccm. Hao hooligans wanatumia mwanya wa chama kuji-camouflage kwa sababu wanajua ukiwa ccm hauguswi na yeyote na unalamba teuzi provided unasifia kila kitu na kuuponda opposition. Cdf was right and Yeriko was far more right! Kila kitu mwanzoni utakiona kizuri kikishakula Fedha za umma mambo yanaharibika
 
Hii style ya kuingia mkataba na kuvunja mkataba ovyo ni ka new style ka kutafuta ugali wa kila siku eti????? Behind this burden kuna majamaa yanagonga cheers
 
Haya mambo yanaitafuna sana hii nchi... hao wanaosaini mikataba wawe wanajitafakari kabla ya kufanya maamuzi
 
Alikuwa msanii tu maana hao wanasheria alikuwa anawateua yeye
Mfano;
Babako akikupa biashara usimamie na baadaye ukachemka je, anapaswa akwambie au akae kimya kisa ni babako ndiye mwenye biashara?.
 
Tangu lini sheria ya manunuzi ya umma ikaruhusu kununua vitu mtumba, hapo tu tayari ni kipengele.......au ndo matokeo haya ya wahamiaji kukaa kwenye nafasi za maamuzi.​
 
Tai Taifa la kikuma sana hili
 
Viongozi wanatuzunguuka, wanataka wale na hiyo kampuni ili wawe na pesa za kuwawezesha nao kuingia ubia kwenye SGR wakiwa na treni zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…