EVA, ni nini siri ya yeye kupendwa na Lodge nyingi hapa nchini?

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
558
Reaction score
1,117
Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.

Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10).

Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa.

 
Imenifanya nihesabu lodge na hoteli nilizolala, kweli nimezurura duniani.
110???
 
Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani
Hizo walitengeneza kama Disposable Products. Yaani ukishatumia mara moja basi hutumii tena kwa mtu mwingine.

Package yake ni NDOGO, hivyo inafaa kwa matumizi ya mtu mmoja na akitumia. Na vile vile ina harufu isiyo kera.

Lodge huwezi kuweka SABUNI KUBWA ambayo mteja atatumia ikabaki, hio ni hasara. MAJUMBANI huwezi weka sabuni ndogo kwa kuwa sababu ya nyumbani watu wana share.
 
Ufafanuzi makini sanaa,, hv zinatengenezwa hapahapa Bongo au.??
 
Uko sahihi mkuu
( Mpasuaji wa Manesi ) endelea kuwapasua manesi na usiwasahau na wakunga😂
 
Kipotabo!
 
sabuni ya dhambi hiyo, ni kumbukumbu ya dhambi kwa wengi sana hata wakilikuta hilo ganda barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…