EVA, ni nini siri ya yeye kupendwa na Lodge nyingi hapa nchini?

EVA, ni nini siri ya yeye kupendwa na Lodge nyingi hapa nchini?

Nadhani wengi wetu hasa sisi wazee wa mihangaiko (kuzurura) tutakua tumekutana naye sana huyu bidada EVA kwny Lodge nyingi tulizopita.

Mimi binafsi nmepita kwny Lodge zaidi ya 100 lakini Lodge ambazo nmepita bila ya kukutana na sabuni hii maarufu ya EVA hazizidi kumi(10).

Eti wadau ni nini sababu ya sabuni hii kupendwa na kutumika zaidi na Lodge nyingi nchini kuliko inavotumika majumbani tujuzane hapa.

View attachment 2907775
Kuna maji maji ya kuogea saiv yanaitwa shower gelly
 
Ndio maana vijana wanafeli mitihani.Ikiwa wazee nao wanajibu wasichoulizwa vijana watakuwa na hali gani?
Umeulizwa mara ngapi sio asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom