Evance Kamenge: CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake itatoka madarakani

Evance Kamenge: CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake itatoka madarakani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”

 
Mzungumzaji anaipa Ccm ukweli ila kwa kifiiiicho...anyways wakuelewa watakuwa wameelewa..

Misingi ilishaachwa kitambo, CCM bila Mafwele hamna kitu pale!
 
Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”

Alichofanya ni kurudia kauli za Nyerere huku akikwepa kuziweka katika muktadha wa sasa huku akijigamba kwamba wameaminika na wananchi ndiyo maana wapo madarakani. Amecheka maana anajua dhamira yake inamsuta.
 
CCM ilishatoka kwenye misingi yake muda mrefu sana , kile sio chama ni club ya mafisadi, wauaji, watekaji na majizi.
 
Back
Top Bottom