Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Awaapi hahah labda agombee na Lukasi mwashambaKwa nini tusiijaribu hii kwenye uchaguzi huu tuone kama itakuwa kweli 😂
Mbona wanajishuku?Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako
===
Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya anaweza kugombea na mtu yeyote yule bila usaidizi wa chombo chochote na akashinda uchaguzi.
View attachment 3305176