Evance Kisanko aka Mtoto wa Mkulima, the winner of DARUSO PRESIDENTIAL ELECTION,

Teganza

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Evans Kisanko ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais wa DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANIZATION (DARUSO) baada ya kuwashinda kwa kura wagombea YASINI ATHUMANI, EGIDY MKOLWE, tunategemea makubwa kutok kwa kijana huyu ambae wengine walimbeza kwa udogo wa mwili wake, lakini ss tunaamini ktk akili yake na si mwili.KISANKO isafishe DARUSO kwani ina uozo mkubwa ,Mungu ibariki UDSM
 
Afanye kazi kwa kufuata katiba ya DARUSO sio kuweka itikadi ya gamba/ gwanda hapo chuoni maana elimu yenu ya siku hizi imechakachuliwa sana
 
kila la kheri ila system imekua mbaya sana nasikia eti akuna tena revolution square wala nini poleni wadogo zangu cha msingi pigeni kitabu
 
Hata aliejiita mtoto wa mkulima nae alichemsha bora atafute jina lingine.
 
Big up, Katane buku na msiwe kama wale wanaojua ukweli halafu wanaliacha taifa likiangamia mbele ya mikono yao. No katiba za vyama vya siasa vyuoni tumieni katiba ya DARUSO
 

Aisee, kama viongozi wa daruso wako hivo, wakipewa nchi itakuwaje? Kumbe hii kansa ya ufisadi imeenea kila kona? Hakuna wa kumlaumu mwenzie!!! Tuna safari ndefu sana.

 
kila la kheri ila system imekua mbaya sana nasikia eti akuna tena revolution square wala nini poleni wadogo zangu cha msingi pigeni kitabu

yani hilo swala la revolution square ndio wananchi wengi tunataka lirudi maana sasa hvi hawa mapacha watatu{mkandala,maboko na mgaya}wanapeleka chuo kwa jinsi wanavotaka wenyewe tu.jana usiku ilikua ni fully shangwe kwa wakazi wote wa mabibo hostel pamoja na vitongoji vyake.
 
HONGERA KWA VICE PRESIDENT PIA DADA YETU
TUSUBUREGE BENJAMINI.
Kisanko kapata model wakumsaidia majukumu Wa ukweee..
##free thinker
 
Ni mtoto wa mkulima kama Mzee Pinda au? Asijekuwa ni wale wanaolia matatizo yanapotokea!
 
naomba kutofautiana na woootee munaoushangilia ushindi wa bwana kisango ambaye kwa wasiomjua vizuri ni kada wa SISIEM huko kijijini kwake akitumikia kama kiongozi wa vijana, Na pia kuingia kwake uongoini ni kutokana na nguvu ya bwana m1 aliyewahi kuingoza DARUSO maarufu kwa jina la KIPARA kwa sasa bwana kipara anatumikia sisiem na mpango wa kumweka huyu bwana aliusimamia na ndiyo maana kwa wanachuo UDSM wafatiliaji mtakubaiana na mimi kipara alionekana maeneo tofauti chuoni kipindi cha tarehe 21 na 30 march.

pia yasemekana (haijathibitishwa na mimi bali rafiki yangu kuwa) tume ya uchaguzi walikutana na kipara pamoja na wengine maeneo ya tegeta kama kawaida kufanikisha hila zao kuweka viongozi wabovu DARUSO kwa masilahi ya sisiemu.

sina maana kuwa bwana yasini alikuwa msafi kwani anaandamwa hadi leo na kesho na makosa ma5 mahakamani juu ya upotevu au kwa maneno mengine ubadhirifu wa pesa za DARUSO zaidi ya mill 40 akiwa kama waziri mkuu aliyemaliza muda wake. kesi iyo ilipaswa kuamuliwa na judicial board ambayo ndiyo ilimwezesha kupenya hadi kugombeaa uraisi japo aligaragazwa na bwana kisango.

yote haya yakifanyika kama kawaida ofisi ya pilato (DINI WA WANAUDSM) anafahamu mchezo wote ila coz UDSM pamegeuzwa pango la kufinya uhuru wa kuzungumza ukweli na ukijaribu kuweka wazi unaishia kutishwa ama kupewa likizo ama kutimuliwa chuo kabisa basi all these have been silenced.

tusibilege nae vice presider
kawekwa tu kwa mapenzi ya huyo huyo pilato kwani wapo walioambiwa hakuna haja ya kucontest vice post coz tayari bint wa mwaka wa 3 (tusibilege) atapewa nafasi hiyo.

kama wewe ni mwanafunzi wa UDSM anbae interaction yako na wanafunzi ni kubwa hasa waalimu wa mwaka wa piliutakuwa ama umepata kuyasikia haya yakizungumzwa ila kwa mkato wa tamaa kisango akachaguliwa.



ushahidi wa awali kuthibitisha hayo
1) kwa nini kati ya waalimu 9 kati ya wanafunzi 13 waliochukua fomu ya uraisi hawakupita screening?
2)kwa nini siku ya uzinduzi wa kampeni wagombea wote walizomewaaa? na hapa kumbuka kisango hakuwa na hoja aliishia kutoa vyeti vya CV jambo ambalo halikuwahi kutokea kwani uongozi ni sera bora na c CV
3)UDSM ina wanafunzi zaidi ya 19000 ila waliopiga kura walikua 3200 na kati ya hao kisango alishinda kwa kura 2000 na point kadhaa
4) kwa nini bodi ya rufaa ilijiuzulu)
5)kuna mabwana waliogombea na wakakata rufaa ila hazikusikilizwa kwa ubabe wa dean
na mengine unauoyajua

maoni yangu.

msitegemee mabadiliko DARUSO
UDSM is the best university in tanzania and africa in killing democracy
tusiwe mashabiki wa mambo tufanye tafiti ndipo tusifu ama kukosoa jambo
kisango ni bright darasani lakin kwa daruso ya sasa SINA IMANI NAE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…