Evans Kisanko ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais wa DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANIZATION (DARUSO) baada ya kuwashinda kwa kura wagombea YASINI ATHUMANI, EGIDY MKOLWE, tunategemea makubwa kutok kwa kijana huyu ambae wengine walimbeza kwa udogo wa mwili wake, lakini ss tunaamini ktk akili yake na si mwili.KISANKO isafishe DARUSO kwani ina uozo mkubwa ,Mungu ibariki UDSM