Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioBado anatishiwa?
Hii ilikua tengeneza stori ya kuombea ukimbizi. Watanzania wajanja wakitaka kuomba ukimbizi kama wabongo wanatumia njia hii ama siyo wanajiita warundi ama wasomali. Hii ni stori ya Chahali ya kujilipua UKATTENTION SEEKER AT WORK.
Kitu cha ajabu hata mleta mada hamfahamu huyu jamaa. achilia mbali watanzania wengine wa kawaida.
Humu duniani ogopa sana hii kitu inayoitwa spinning. Huyu jamaa sitashangaa kama anatengeneza mazingira ya kutaka kuuza makala zake 'mahili' za kisiasa.
Haitakuwa ajabu kama hatawaokota wengi ambao ni matajiri wa fikra finyu.
Kama walioko ground zero wanatembeza siasa ambazo mpaka serikali inakuna kichwa na bado wako huru kutembea mitaani na kunywa kahawa kwenye vijiwe. Yeye huyu jamaa amefanya nini mpaka serikali ipoteze pesa kwa ajiri ya gharama za Convert operation.
Kwa mawazo kama hayai, basi hitimisho ni kila mtanzania maisa yake yako hatarini.
Nenda kwa matapeli wenzao amazon utavipata. Amazoni ni wasambazaji wakubwa wa makanyaboya dunia nzimaWandugu mwenye kujua kinapopatikana kitabu cha Chahali na kile cha Yerico Nyerere naomba contact
Ingekuwa vema raslimalizinazotumika kufanikisha mpango huo zikaelekezwa kwenye uchunguzi wa mabilioniya fedha za Watanzania yaliyofichwa kwenye mabenki nchini Uswisi huku nchi yetuikikabiliwa na deni kubwa la ndani na nje la zaidi ya shilingi trilioni 30!