Evarist Chahali, hili limenitisha!

Nimeifuatilia kwa zaidi ya lisaa na nimefurahishwa na mtanange wa mtata Kiranga na Dr. Chahali 'afisa wa kitengo mstaafu'
Mtifuano kama huo ndo unafaa kwa watu wenye mtazamo tofauti
 
Wandugu mwenye kujua kinapopatikana kitabu cha Chahali na kile cha Yerico Nyerere naomba contact
 
Kama mambo haya yanayofanyika hapa nchini yamevuka mipaka kiasi hiki, watanzania tuliomo humu ndani na ambao tunapenda kumkosoa mfalme, tuchukue tahadhari kubwa sana.
 
Hii ilikua tengeneza stori ya kuombea ukimbizi. Watanzania wajanja wakitaka kuomba ukimbizi kama wabongo wanatumia njia hii ama siyo wanajiita warundi ama wasomali. Hii ni stori ya Chahali ya kujilipua UK
 
Wandugu mwenye kujua kinapopatikana kitabu cha Chahali na kile cha Yerico Nyerere naomba contact
Nenda kwa matapeli wenzao amazon utavipata. Amazoni ni wasambazaji wakubwa wa makanyaboya dunia nzima
 

Hivi JP mpaka sasa Pesa Uswisi ameshindwa kuzirudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…