I_manyota
Member
- Aug 15, 2012
- 48
- 44
Eve Jihan Jeffers Cooper au wengin tunamjua kama EVE, rapper wa kike kutoka nchini Marekani, Philadelphia huko kwa kina Meek Mill na wengine wengi. Watoto wa 2000's ni ngumu kumjua huyu mwanamama unless uwe unapenda kusikiliza ngoma ambazo zilikua zina heat kipindi unazaliwa 😂 😂, usinune bhana ila ndio ukweli huo nyie mnawajua kina Cardi B na Minaj ukiulizwa kuhusu hawa unaweza ukabaki unatoa macho tu hapo sasa kamata hapa.
Kwa haraka haraka Eve miaka hyo ya 2000's alisumbua sana kwenye game la Hip-hop si kinadada wenzie au masela ukimshirikisha Eve uwe umejipanga maana bi alikua anajua kuandika na kupasuka vile vile ukitaka 101 battle huko ndio hata usiguse kabisa anakuvua nguo kama hukujipanga.
Eve alizaliwa mwaka 1978, huku mama yake akiwa bado binti tu wa miaka 17, Eve anasema alianza muziki akiwa na miaka 11-12 hivi yeye na rafiki yake wakaunda Dope Girls ambapo waliendelea mpaka walipkuwa high school (Martin Luther King High School ). Eve alipenda sana kurap hasa battle rap, yaani yeye ukimwambia mambo ya kubato ulikua unamkosha na alikua anajua haswaa.
Lakini ya Mungu ni mengi unajua kama ndio hapo ambapo palimfanya Eve aanze kuona mwanga katika kipaji chake unaambiwa night moja mzee baba Mase akatimba hiyo Club ambayo Eve alikua akipiga mzigo. Aaah madogo nimesahau kumbe na huyu mjuba hamumjui. Mase alikua rapper wa Badboys Ent. hii ya P. Diddy miaka hiyo alisumbua sana na yeye kwenye game la hipo-hop.
Haya bhana mzee baba kingia si akaona mtoto mkali, unajua tena ikabidi mjuba aanze kuchombeza chombeza, Eve anakwambia alikua hamuelewi jamaa sababu hata alikua hamjui mchizi full kumpa majina ya uwongo na namba za uwongo.
Meneja wake Eve alikua na rafiki yake ambaye alikua akifanya kazi na Dre. Dre ,ukafanyika mpango Eve akutane na jamaa amsikie mwenyewe so ilikua kama audition flani hivi. Basi bhana beat ikawekwa mtoto wa kike akaanza kuspit jamaa hakutaka kusubiri akaukubali uwezo wake
Kipindi Eve anasainiwa AfterMath Rec rapper Eminem nae akawa amesaini kipindi hicho hicho Dre alimkubali sana Eminem kiasi muda mwingi aliutumia kufanya kazi na Eminem na kumsahau Eve. So kwa lugha fupi Eminem alitia kitumbua mchanga
Unaambiwa baada ya kufika wakaenda zilipo studio humu ndani walikua wamekaa masela tupu kina DMX, JADA wasanii wote waliokuwa chini ya label ya Ruff Ryders, na sababu ilikua ni kumfanyia interview ambayo ilikua ni lazima ubato na wale jamaa ukiweza kuwamudu basi wewe umepita.
Mwaka 1999 Eve akawa amerokodi album yake ya kwanza LET THERE BE EVE album ambayo aliindika eve mwenye na iliyobeba historia ya maisha yake.
Kwa haraka haraka Eve miaka hyo ya 2000's alisumbua sana kwenye game la Hip-hop si kinadada wenzie au masela ukimshirikisha Eve uwe umejipanga maana bi alikua anajua kuandika na kupasuka vile vile ukitaka 101 battle huko ndio hata usiguse kabisa anakuvua nguo kama hukujipanga.
Eve alizaliwa mwaka 1978, huku mama yake akiwa bado binti tu wa miaka 17, Eve anasema alianza muziki akiwa na miaka 11-12 hivi yeye na rafiki yake wakaunda Dope Girls ambapo waliendelea mpaka walipkuwa high school (Martin Luther King High School ). Eve alipenda sana kurap hasa battle rap, yaani yeye ukimwambia mambo ya kubato ulikua unamkosha na alikua anajua haswaa.
I was a battle rapper, i wanted to go up against all the guys in every cypher on every corner, like I've always been a tomboy.
I did what i had to do i proved to y'all, females to do with milk to do only better
Life la shule likaisha ilimbidi Eve kuingia mtaani kusaka mkwanja, akiwa na miaka 18 eve alianza kazi kama stripper japo aliifanya kwa kipindi kifupi kama mwezi hivi, unajua tena haikua kitu ambacho alipenda kufanya hata wakati anafanya anasema yeye ndio alikua stripper goigoi kiasi wateja kutomkubali sana. Ila Eve hajawahi kujutia kitendo hicho maana anasema alikua kwenye harakati za kutafuta so haimuumizi kichwa.Hip-hop to me was Latifah, Mc Lyte, Salt and Pepper, the sexiness that they brought to it. But they still had that guy swag, i never wanted to just be good for a girl that always bothered me and people like you know you're good for a girl. I used to hate that.
"that was a hustle, too; there’s a song about it on my album, "Heaven Only Knows." But I don't regret it – I was eighteen and confused, going through personal problems. I did it for about a month, and I was glad I did it. It helped me find Eve, helped me get serious. It was depressing – a lot of those girls have three or four kids. I'd sit there and be like, 'Eve, you don't belong here, this is not your world.'"
Lakini ya Mungu ni mengi unajua kama ndio hapo ambapo palimfanya Eve aanze kuona mwanga katika kipaji chake unaambiwa night moja mzee baba Mase akatimba hiyo Club ambayo Eve alikua akipiga mzigo. Aaah madogo nimesahau kumbe na huyu mjuba hamumjui. Mase alikua rapper wa Badboys Ent. hii ya P. Diddy miaka hiyo alisumbua sana na yeye kwenye game la hipo-hop.
.
Haya bhana mzee baba kingia si akaona mtoto mkali, unajua tena ikabidi mjuba aanze kuchombeza chombeza, Eve anakwambia alikua hamuelewi jamaa sababu hata alikua hamjui mchizi full kumpa majina ya uwongo na namba za uwongo.
One night Mase come walking in, i didn't even know who he was. Asking my name i'm like giving up fakes names or whatever, he's like no i know you're not supposed to be here he's likes what do you want to do and i was like i rap and he was like let me hear you rap. And he did he was like yeah he's like if that's what you're trying to do you shouldn't been here. And never went back and i got focused.
Meneja wake Eve alikua na rafiki yake ambaye alikua akifanya kazi na Dre. Dre ,ukafanyika mpango Eve akutane na jamaa amsikie mwenyewe so ilikua kama audition flani hivi. Basi bhana beat ikawekwa mtoto wa kike akaanza kuspit jamaa hakutaka kusubiri akaukubali uwezo wake
She give me one verse and hoot, and told her i said that's it i don't need to hear anymore, basically have two weeks get your bags packed you're coming back to L.A
Baada ya kukaa kwa muda hivi Dre aliamua kusitisha mkataba na Eve, ila Jimmy Iovine Co-founder Chairman Interscope Records alimkubali Eve na hakutaka kuona dogo anabaki kitaa wakati ana kijpaji kikubwa sana basi jamaa na Dre wakaona bora wamfanyie mpango na Ruff Ryders Records, basi waka link na ruff ryder wakapigiwa simu aende Yonkers, New York.There's nobody out there that's that's even close to what he's doing
Unaambiwa baada ya kufika wakaenda zilipo studio humu ndani walikua wamekaa masela tupu kina DMX, JADA wasanii wote waliokuwa chini ya label ya Ruff Ryders, na sababu ilikua ni kumfanyia interview ambayo ilikua ni lazima ubato na wale jamaa ukiweza kuwamudu basi wewe umepita.
We go to powers house and i'm walking up in the studio with all these guys, there was, Raw there was D i mean everybody was there
Shughuli ikawa imeishia hapo mdada akatisha sana mule ndani wana wakamkubali akala mkataba wake akawa msanii wa kwanza wa kike kusainiwa na Ruff Ryders.Everybody had a battle to become Ruff Ryders. you're going to be very uncomfortable or you're going to be comfortable.
I was the first lady of Ruff Ryders so it was important for me that they saw that i am going to hustle the way you guys hustled period. Do not separate me and they didn't.
Mwaka 1999 Eve akawa amerokodi album yake ya kwanza LET THERE BE EVE album ambayo aliindika eve mwenye na iliyobeba historia ya maisha yake.