Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.Pia mwenzake Money Penny!
Kwani ukiwa Tapatalk hawawezi kuku ban?Ha haa! Mie wakinibani nahamia Tapatalk!
[emoji3][emoji3]eti secretary wakeAmekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
π π π kawatumia salamuAmekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Hahaaa haya maandamano yanaanzia wapi manake sio kwa mahabat haya[emoji8]
Last time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....
Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..