πππNa miguu yako yenye machacha huwezi kutakata hata iweje[emoji23][emoji23][emoji23]
Nampendaga yule dada ..Yuko wazi Sana katika nyuzi zake hanaga kufichaficha
Ila nahisi Kama ni huyu mwenye I'd ya unfogertable
Last time halafu tena mara ya mwisho? kweli unaotaLast time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....
Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..
Ndio wapi huko etiiiiii napaskia tuuuuHa haa! Mie wakinibani nahamia Tapatalk!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.
Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
Mtongoze mod farida
Teh ...ledada yuko wapi.
Mara ya mwisho aliniaga anaenda Morogoro. Imepita wiki mbili sasa sijaona akiwa online.
nitagie hapaMtongoze mod farida
Ngoja nitafute pa kukukwazaSiwezi kutukana. Kweli tena yaani hata sikumbuki kama nimewahi tukana mtu.
Yeah nahisiUnamaanisha ni @unforgetable?
nasubiriNgoja nitafute pa kukukwaza