Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Evely Salt Amepatwa Na Nini?

Last time nilipishana nae pale BOT akienda kuchange Dollar mara ya mwisho nilimwona Heathrow Airport akichange ndege akienda State, na mm nikisubiri ndege za kuunganisha kuelekea Ufaransa, nafikiri atakuwa amebanwa na majukumu ya hapa na pale infact anafanya kazi ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje....

Yaaah!!!! Ngoja niendelee kuota..
Last time halafu tena mara ya mwisho? kweli unaota
 
Acheni apumzike bwana...hivi si ndio huyu bibie alikuaga anasema anataka mtu anaejua kucheza kama wadada wa baikoko na kanga moja Amfundishe,sio huyu bi shost? akatupia na vi clip kadhaa vya watoto wa kigodoro wanavyo chambua chura akaomba anaejua amfundishe? Bila shaka ndio huyu

Bi dada kila mtu anataka aachiwe asee itakua ni pini eeeh ndio mana,wenye sura ngumu wakilimwa BAN hamna utaemsikia anaulizia.
 
Amekuja mpuuzi PM ametuunganisha watu kadhaa akatutumia link akadai ni Sekretari wa Money Penny, eti kaambiwa atupe salamu zake yeye atarudi Mwezi ujao.

Jamaa mmoja ndio kamjibu wengine tumekausha tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hahaha angeniunga mm ungeona ambavyo ningeharisha huko pm ambako hakunaga ban
 
nahisi atakuwa amemwagikiwa na maji na kuyeyuka maana chumvi haistahimili maji
 
Back
Top Bottom